Elizabeth II wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Elizabeth II.jpg|thumb|200px|Elisabeth II mwaka 2006.]]
'''Elisabeth II''' alikuwa [[malkia]] wa [[Uingereza]] (au [[Ufalme wa Muungano]]) tangu [[mwaka]] [[1952]] hadi kufariki dunia tarehe [[8 Septemba]] [[2022]]. Alikuwa malkia kwa miaka 70 na siku 214. Katika [[historia]] yote ya [[dunia]]
Alizaliwa kwa jina la Elizabeth Alexandra Mary Windsor mjini [[London]] [[tarehe]] [[21 Aprili]] [[1926]] kama [[mtoto]] wa kwanza wa mfalme [[George VI wa Uingereza]] na Elizabeth Bowes-Lyon. Anafuatwa na mwana wake [[Charles III wa Uingereza]].
|