Msaada:Tafsiri ya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 9:
 
==Tufanye nini?==
# Kama makala ina lugha isiyoeleweka au ya ajabuajabuajabu ni vema kuangalia makala yake ya Kiingereza, maana mara nyingi ni tafsiri ya kompyuta ya sehemu ya makala katika enwiki.
# Tupime kama ni tafsiri ya kompyuta kwa kutumia [https://translate.google.com/translate translate.google.com]. Tumwage sehemuysehemu aya makala ya Kiingereza upande wa dirisha la kwanza (tunapochagua "English") na kuangalia tafsiri yake.
# Tulinganishe matokeo na matini ya makala ya swwiki tunayochunguliatunayochunguza. (njiaNjia rahisi ni: anzisha jedwali katika word, mwaga tafsiri upande mmoja na makala ya swwiki upande mwingine)
# Tukihakikisha makala ya swwiki ni matini imepokelewaimepokewa neno kwa neno kutoka google, na Kiswahili kina kasoro, makosa au hakieleweki, tunaamua kama tunaweza kuisahihisha (au kama tunapenda kutumia muda wetu kwa jambo hilihilo) halafu ama tunasahihisha au tunabandika kigezo cha '''<nowiki>{{futa}}</nowiki>''' na kuandikisha makala katika orodha ya [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] (kwa kubofya link yake), ambakoambapo mwingine ataiangalia na kuamua.
# Wakabidhi kati yetu wataamua kumzuia mwandishi wa makala kwa kutumia kigezo '''<nowiki>{{zuia tafsiri}}</nowiki>''' kinachoonyeshwa hapohapa chini; kwa njia hiyo mwandishi anapata nafasi ya kuwasiliana na kupokea ushauri lakini hawezi kuendelea bila mawasiliano.
# Watumiaji wageni husahau mara kwa mara kuonyesha interwiki kwa hiyo hatujui walitafsiri nini katikakutoka enwiki. Tunaweza maraMara nyingi tunaweza kutambua makala husika ya enwiki kwa kutumia google translate (maana huko walichukua jina). Tubadilishe google translate iwe SW > EN na kumwaga jina la Kiswahili katika dirisha la kwanza. Halafu tutafute tafsiri katika enwiki. Kama hatufiki kwa njia hiyo, tunaweza bado kuangalia kama matini ya enwiki ina jina la mtu n.k. na kuiweka katika dirisha la "Search Wikipdia" tukibofya chini "Search for pages containing ..." na uwezekano ni mkubwa kwamba tutakuta makala tunayotafuta.
 
{{zuia tafsiri}}
 
==Nifanye nini ili vema nitumie vema programu ya kutafsiri?==
Soma hapa: [[Msaada:Tafsiri#Programu_za_kutafsiri]]