Msaada:Interwiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 10:
* Utaona sanduku "Link with page".
* Ingiza hapa "enwiki" <small>(kwa kawaida, unaweza kuteua pia lugha nyingine..)</small>, thibitisha
* Kwenye sehemu ya "page" andika jina la makala ya Kiingereza (au la makala uliyotafsiri), thibitisha yote, na tena.
 
Sasa utaona orodha ya lugha zenye viungo kwenda makala za lugha nyingine. Ni msaada mkubwa kama msomaji anataka kusoma maelezo zaidi kwa Kiingereza na kadhalika. Ni msaada pia kwa wahariri wanaosoma lugha hizo wakitafuta habari za nyongeza.