Elizabeth II wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
{{mwanasiasa
[[Picha:Elizabeth II.jpg|thumb|200px|Elisabeth II mwaka 2006.]]
|jina = Elizabeth Alexandra Mary
'''Elisabeth II''' alikuwa [[malkia]] wa [[Ufalme wa Muungano]] wa [[Britania]] ([[Uingereza]] na [[Welisi]] na [[Uskoti]]) na [[Ireland Kaskazini]] tangu [[mwaka]] [[1952]] hadi kufariki [[dunia]] [[tarehe]] [[8 Septemba]] [[2022]]. Alikuwa malkia kwa miaka 70 na siku 214. Katika [[historia]] yote ya [[dunia]] wako [[watawala]] wachache waliodumu [[Madaraka|madarakani]] [[muda]] mrefu kuliko yeye<ref>[https://www.theguardian.com/uk-news/live/2022/sep/08/queen-elizabeth-ii-dies-royals-monarchy-latest-news-updates Queen Elizabeth II dies aged 96] Guardian (UK), 08.09.2022</ref><ref>Mfalme [[Louis XIV wa Ufaransa]] alitawala miaka 72 kutoka 1643 - 1715; [[:en:List_of_longest-reigning_monarchs#Monarchs_of_dependent_or_constituent_states_with_verifiable_reigns_by_exact_date|orodha hii]] inaonyesha wengine</ref>. Soma zaidi [https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/maisha-ya-malkia-elizabeth-ii--3942686 wasifu wake hapa] Anafuatwa na [[Mtoto|mwana]] wake wa kwanza, [[Charles III wa Uingereza]].
| nchi =
| picha =Queen Elizabeth II in March 2015.jpg
| maelezo_ya_picha = [[malkia]] wa [[Ufalme wa Muungano]] wa [[Britania]] ([[Uingereza]], [[Welisi]], [[Uskoti]]) pamoja na [[Ireland Kaskazini]]
| cheo 1 =
| bunge la =
| jimbo la uchaguzi =
| chama =
| tar. ya kuingia bunge =
| alirudishwa mwaka =
| aliondoka =
| cheo 2 =
| kuingia 2 =
| kutoka 2 =
| akitanguliwa na 2 =
| akifuatwa na 2=
| tarehe ya kuzaliwa = 21 Aprili 1926
| mahali pa kuzaliwa =Mayfair, [[Uingereza]]</br> [[Ufalme wa Muungano]]
| kifo = {{Death date and age|2022|09|08|1926|04|21|df=yes}}
| dini =
| elimu =
| digrii =
| kazi =
| tovuti=
| mengine=
| }}
[[Picha:Elizabeth II.jpg|thumb|200px|ElisabethElizabeth II mwaka 2006.]]
'''ElisabethElizabeth II''' alikuwa [[malkia]] wa [[Ufalme wa Muungano]] wa [[Britania]] ([[Uingereza]] na [[Welisi]] na [[Uskoti]]) na [[Ireland Kaskazini]] tangu [[mwaka]] [[1952]] hadi kufariki [[dunia]] [[tarehe]] [[8 Septemba]] [[2022]]. Alikuwa malkia kwa miaka 70 na siku 214. Katika [[historia]] yote ya [[dunia]] wako [[watawala]] wachache waliodumu [[Madaraka|madarakani]] [[muda]] mrefu kuliko yeye<ref>[https://www.theguardian.com/uk-news/live/2022/sep/08/queen-elizabeth-ii-dies-royals-monarchy-latest-news-updates Queen Elizabeth II dies aged 96] Guardian (UK), 08.09.2022</ref><ref>Mfalme [[Louis XIV wa Ufaransa]] alitawala miaka 72 kutoka 1643 - 1715; [[:en:List_of_longest-reigning_monarchs#Monarchs_of_dependent_or_constituent_states_with_verifiable_reigns_by_exact_date|orodha hii]] inaonyesha wengine</ref>. Soma zaidi [https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/maisha-ya-malkia-elizabeth-ii--3942686 wasifu wake hapa] Anafuatwa na [[Mtoto|mwana]] wake wa kwanza, [[Charles III wa Uingereza]].
 
Alizaliwa kwa jina la Elizabeth Alexandra Mary Windsor mjini [[London]] [[tarehe]] [[21 Aprili]] [[1926]] kama [[mtoto]] wa kwanza wa mfalme [[George VI wa Uingereza]] na Elizabeth Bowes-Lyon.
Line 31 ⟶ 58:
{{marejeo}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
[[Jamii:Waliofariki 2022]]
{{BD|1926|}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1926]]
[[Jamii:Wafalme na malkia wa Uingereza]]