Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Raila Odinga" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 1:
[[Picha:Raila Odinga.jpg|thumb|250px|Raila Amolo Odinga]]
'''Raila Amolo Odinga''' (alizaliwa [[7 Januari]] [[1945]]) ni [[mwanasiasa]] kutoka [[Kenya]] aliyehudumu kama [[Waziri mkuu]] kutoka mwaka wa 2008 hadi 2013. Anadhaniwa kuwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya kuanzia 2013 kwani [[Katiba ya Kenya|katiba mpya]] ya Kenya haina nafasi hii.
 
Alikuwa mbunge wa Langata kuanzia 1992 hadi 2007. Raila Odinga alihudumu kwenye baraza la mawaziri la Kenya kama waziri wa nishati kuanzia 2001 hadi 2002, na baadaye kama waziri wa barabara, kazi ya umma na makazi kuanzia 2003 hadi 2005. Odinga aliteuliwa kuwa mwakilishi wa juu wa maendeleo ya miundombinu katika Umoja wa Afrika mwaka wa 2018.