Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d tanzu za fasihi simulizi na maana na ya fasihi
Mstari 1:
'''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] فصاحة, ''fasaha'' kwa maana ya ulimbi au "literacy" kwa [[Kiingereza]]) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya [[mazungumzo]] au [[maandishi]] ili kufikisha (kuwasilisha) [[ujumbe]] kwa [[hadhira]] husika. Ni [[ufundi]] wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za [[binadamu]].Fasihi ni sanaa inayotumia lugha kwa ubunifu kuasilisha masuala kuhusu maisha ya binadamu na mazingira
 
Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo: [[fani (fasihi)|fani]] ni [[umbo]] la nje la [[kazi]] ya fasihi; [[maudhui]] ni umbo lake la ndani.
Mstari 48:
Fasihi simulizi ni aina ya fasihi ambayo hutumia mazungumzo ya mdomo ili kufikisha ujumbe kwa hadhira. Aina hii ya fasihi ndiyo iliyokuwapo tangu zamani kabisa mwanadamu alipoanza kuishi yaani ilianza pale mwanadamu alipochangamana na wenzake katika kufanya mambo mbalimbali mfano,shughuli za biashara,kilimo,na nyinginezo.
 
Utanzukuna huutanzu wanne za fasihi simulizi una vipera au aina kuu nne, nazo ni:.ie;
*1.utanzu wa hadithi
*1. Hadithi.
*2.utanzu Ushairi.wa semi
*3.utanzu wa ushairi simulizi
*3. Semi.
*4.utanzu wa maigizo
*4. Maigizo.
 
====Sifa za fasihi simulizi====