Forum for the Restauration of Democracy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Hello DrJohn Hello
d Reverted edits by 87.118.104.145 (Talk); changed back to last version by 62.154.201.129
Mstari 4:
Ilianzishwa mwaka 1991 na wanasiasa waliopinga [[mfumo wa chama kimoja]] na utawala wa [[KANU]] chini ya rais [[Daniel arap Moi]]. Shabaha ilikuwa mabadiliko ya kuruhusu vyama vingi na uhuru wa kidemokrasia. Wakati ule chama cha pekee kilichoruhusiwa kilikuwa KANU. Mfumo wa chama kimoja uliporomoka katika nchi nyingi za dunia baada ya mwisho wa ukomunisti na mabadiliko yaliyokwenda sambamba na mwisho wa [[vita baridi]] katika Afrika.
 
==Waanzilishi==
Hello my friends :)
Kati ya waanzilishaji walikuwa [[Jaramogi Oginga Odinga]], [[Kenneth Matiba]], [[Martin Shikuku]], [[Masinde Muliro]] na [[Michael Wamalwa]]. Mwanzoni FORD ilipigwa marufuku lakini baadaye Moi alilazimishwa na nchi za nje walisaidia sehemu kubwa ya mapato ya serikali kukubali kuwepo kwa FORD.
;)
 
Mwaka 1992 KANU ilikuwa tayari kubadilisha katiba ya kuruhusu vyama vingi. Walioanzisha vyama mara moja walikuwa Odinga aliyeandikisha FORD kama chama na Mwai Kibai aliyeandikisha [[Democratic Party (Kenya)|Democratic Party (DP)]]. FORD ilikuwa mwanzoni chama cha upinzani wa kitaifa wakati DP ilikuwa na nguvu katika maeneo ya Wakikuyu hasa.
 
==Farakano 1992 juu ya uongozi==