Petro, Dorotheo na Gorgoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Martyr de saint Gorgon.jpg|thumb|[[Mchoro mdogo]] wa [[kifodini]] cha Gorgoni <ref>Jacobi a Voragine (cur. Th. Graesse), ''Legenda aurea'' (Lipsia, 1850), p. 601.</ref>.]]
'''Petro, Dorotheo na Gorgoni''' (walifariki [[Nikomedia]], leo [[Izmit]] nchini [[Uturuki]], [[303]]) walikuwa [[Wakristo]] waliofanya kazi katika [[ikulu]] wa [[kaisari]] [[Dioklesyano]] katika [[mji]] huo ambao waliuawa kwa kulalamikia wazi [[mauaji]] ya [[Migdoni na wenzake]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/44690</ref>.
 
Kwa agizo la kaisari mwenyewe, Petro, aliyelalamikia [[Uuaji|mauaji]] ya kikatili ya [[Migdoni na wenzake]], aliangikwa [[mti|mtini]] hadharani na kuteswa muda mrefu sana kwa [[mjeledi|mijeledi]]; hatimaye alibanikwa akiwa hai. Wenzake Dorotheo na Gorgoni, kwa kulalamikia uuaji wake walipewa [[Adhabu ya kifo|adhabu]] za namna hiyohiyo na hatimaye kunyongwa<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/44690</ref>.
 
Wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[watakatifu]] [[wafiadini]].