Msimamizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Msimamizi''' (kutoka kitenzi: ''kusimama'') ni mtu ambaye anasimama imara kuhakikisha mwingine anakua vizuri au jambo linafanyika kwa ufanisi. Katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo ni maarufu wasimamizi wa ubatizo na wa kipaimara wanaowajibika rasmi, wakati wa kuadhimisha sakramenti hizo, kwamba atamsaidia aliyezipata kuziishi vema maisha yake yote. {{mbegu-sheria}} Jamii:Sheria Jamii:Ukristo'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Stained glass window depicting Episcopal baptism.JPG|thumb|200px|"[[Dirisha]] la Ubatizo" katika [[St. Mary's Episcopal Cathedral in Memphis]], [[Tennessee]], likionyesha wasimamizi katika ubatizo.]]
'''Msimamizi''' (kutoka [[kitenzi]]: ''kusimama'') ni mtu ambaye anasimama imara kuhakikisha mwingine anakua vizuri au jambo linafanyika kwa ufanisi, kwa mfano [[mirathi]].
 
Katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] ni maarufu wasimamizi wa [[ubatizo]] na wa [[kipaimara]] wanaowajibika rasmi, wakati wa kuadhimisha [[sakramenti]] hizo, kwamba atamsaidia aliyezipata kuziishi vema [[maisha]] yake yote.