Msimamizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 4:
Katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] ni maarufu wasimamizi wa [[ubatizo]] na wa [[kipaimara]] wanaowajibika rasmi, wakati wa kuadhimisha [[sakramenti]] hizo, kwamba atamsaidia aliyezipata kuziishi vema [[maisha]] yake yote.
 
Katika baadhi ya madhehebu hayo, wanaoheshimiwa kama [[Mtakatifu|watakatifu]] wanatazamwa pia kama wasimamizi wa aina fulani ya watu, k.mf. [[Ujana|vijana]], [[mjane|wajane]], [[ukoma|wakoma]] n.k.
{{mbegu-sheria}}
[[Jamii:Sheria]]