Babu wa Kanisa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Babu wa Kanisa''' ni [[jina]] la [[heshima]] ambalo kuanzia [[karne IV]] [[Kanisa Katoliki]] limewapatia [[Ukristo|Wakristo]] wa kale (hadi [[mwaka]] [[750]] hivi), wenye [[utakatifu]], [[elimu]] na [[imani sahihi]], ambao mafundisho yao yanawezesha kujua [[mapokeo ya Mitume]].
 
Orodha ya kwanza ya mababu wa Kanisa iliandikwa katika [[Hati ya GelasiGelasio]] ([[karne VI]]); baadhi yao waliongezewa jina la [[Mwalimu wa Kanisa]].
 
Muhimu zaidi [[Ukristo wa Mashariki|upande wa Mashariki]] ni: [[Atanasi]], [[Basili Mkuu]], [[Gregori wa Nazienzi]] na [[Yohane Krisostomo]].