Thomas Son Chasuhn : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Wafiadini wa Korea walivyochorwa katika [[patakatifu pa Kisiwa Jeju.]] '''{{PAGENAME}}''' (alifariki Su-Ryong, [...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Korean martyrs.jpg|thumb|250px|Wafiadini wa Korea walivyochorwa katika [[patakatifu]] pa [[Kisiwa Jeju]].]]
'''{{PAGENAME}}''' (alifariki [[Su-Ryong]], [[30 Machi]] [[1866]]) ni mmojawapo katika [[kundi]] kubwa la [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Korea]] waliouawa kwa ajili ya [[imani]] yao katika miaka [[1791]]–[[1888]]. Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.
 
Alikatwa [[kichwa]] pamoja na [[askofu]] [[Antoni Daveluy]], [[mapadri]] [[Pierre Aumaître]] na [[Martin-Luc Huin]], na ma[[katekista]] wenzake [[Joseph Chang Chu-gi]] na [[Luka Hwang Soktu]].
 
[[Mlei]] huyo na [[wafiadini]] wenzake 102 walitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[watakatifu]] [[tarehe]] [[6 Mei]] [[1984]].<ref>[http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html Korea and the church of martyrs]</ref>
Line 30 ⟶ 32:
* [http://www.catholicculture.org/culture/library/view.cfm?id=4740&CFID=29233537&CFTOKEN=88892945 List and brief description of martyrs]
* [https://web.archive.org/web/20180524152040/http://animation.mepasie.org/rubriques/haut/historique-des-mep History of the Missions Etrangeres de Paris MEP]
 
{{mbegu-Mkristo}}
{{BD||1866}}