Pasta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Redirecting to Spaghetti
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Pasta_2006_2.jpg|thumb|350px|Aina za pasta]]
#redirect [[Spaghetti]]
[[Image:Pasta_2006_1.jpg|thumb|350px|Aina za pasta]]
 
 
'''Pasta''' ni neno lenya asili ya Kiitalia kinachojumlisha chakula kilichotengenzewa kwa kutumia unga wa [[nafaka]] hasa [[ngano]] na [[maji]].
 
Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni [[spaghetti]]. Lakini kuna aina nyingi za pasta.
 
Chanzo cha pasta hufanana na ugali yaani ni unga (wanga) unaokorogwa katika maji. Lakini [[kinyunga]] kilicho imara sana hukatwa kwa vipande vidogo venye maumbo mbalimbali na kupikwa kama vipande vya pekee. Kama pasta imekauka inatunzwa kwa muda mrefu hauozi na inapikwa haraka. Madukani inauzwa kama pasta kavu.
 
Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake.
 
Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na sosi au supu zake.
 
Chanzo cha pasta iko katika Italia lakini zimeenea kote duniani. Ila tu hadi leo ni Italia yenye aina nyingi za pasta hizi.
 
Zinazojulikana kimataifa ni kwa mfano:
 
*[[spaghetti]] (umbo la nondo au kijito)
*[[makaroni]] (umbo la bomba)
*[[lasagne]] (umbo la ukurasa bapa)
 
== Viungo vya Nje ==
 
* [http://www.archimedes-lab.org/pastashape.html www.archimedes-lab.org :: Pasta shapes] – history and a pasta shapes list
* [http://www.food-info.net/uk/products/pasta/shapes.htm www.food-info.net :: Pasta shapes] – a well-illustrated list
* [http://www.lifeinitaly.com/food/pasta-history.asp www.lifeinitaly.com :: History of Pasta] – includes pictures of how pasta is made.
* [http://www.pasta.go.it/ Information about Italian Pasta]
 
{{commonscat|Pasta}}
 
 
[[Category:Pasta| ]]
 
 
{{stub}}
 
[[ca:Pasta]]
[[da:Pasta]]
[[de:Pasta]]
[[el:Ζυμαρικό]]
[[en:Pasta]]
[[es:Pasta]]
[[eo:Nudelo]]
[[fr:Pâtes alimentaires]]
[[id:Pasta]]
[[it:Pastasciutta]]
[[he:פסטה]]
[[nl:Pasta]]
[[ja:パスタ]]
[[no:Pasta]]
[[pl:Makaron]]
[[pt:Massas alimentícias]]
[[ru:Макаронные изделия]]
[[scn:Pasta]]
[[sl:Testenine]]
[[fi:Pasta]]
[[sv:Pasta]]
[[zh:意式麵食]]