Spaghetti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fa:اسپاگتی
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Spaghetti-cooking.jpg|200px|thumb|right|Spaghetti katika sufuria: maji ya chumvi yenye mafuta kidogo]]
[[Image:Spaghetti-prepared.jpg|200px|thumb|right|'''Spaghetti alla Napolitana''' ni pamoja na mchuzi wa nyanya na jibini iliyosagwa juu yake]]
'''Spaghetti''' ni chakula cha [[tambi]] yenye asili ya Ki[[italia]]. Ni tambi ya [[ngano]] na umbo ni nyembamba. Hupikwa katika maji kwa dakika chache na kuliwa na michuzi mbalimbali. Spaghetti ni aina moja ya chakula cha [[pasta]] na neno latumiwa wakati mwingine kutaja pasta kwa jumla.
 
Kutoka Italia chakula hiki kimeenea duniani kwa sababu hupikwa haraka ina shibe nzuri na kuna njia nyingi ya kubadilisha ladha yake. Kwa njia ya utani zimekuwa ishara kwa utamaduni wa Italia jinsi inavyoonekana katika filamu za [[Spaghetti Western]].