Majina ya kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.186.17.210 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na InternetArchiveBot
Tag: Rollback
Masahihisho
Mstari 2:
 
==Majina ya sayansi katika biolojia==
Utaratibu wa [[uainishaji]] wa [[wanyama]] na [[mimea]] ulioanzishwa na [[Carl Linnaeus]] unaendelea kufuatwa hadi leo, hivyo kila mmea au mnyama unapewa jina la kisayansi yenye sehemu mbili: sehemu ya kwanza inataja [[jenasi]] na sehemu ya pili [[spishi]]. Kwa kawaida jina la mnyama linafuatwa na jina la familia (au kifupi chake cha [[herufi]] ya kwanza ya jinakadhaa) la [[mtaalamu]] aliyewahi kueleza spishi hiyo katika maandiko ya [[sayansi|kisayansi]], pamoja na mwaka ambapo makala imetolewa. Jina la mmea linafuatwa na kifupi cha herufi moja au kadhaa cha jina la mtaalamu bila mwaka. Majina ya jenasi na spishi huandikwa kwa mlazo na lile la jenasi linaanzia na herufi kubwa.
 
Hadi leo aina[[spishi]] za mimea au wanyama zilizoainishwa na Linnaeus zinatajwa kwa herufi "L." baada ya jina la kisayansi. Kwa mfano, [[mpunga]] ni mmea wa jenasi inayotajwa kwa jina la kisayansi kama ''Oryza'' (L.) na "L." katika [[mabano]] inaonyesha kwamba jenasi hii ilielezwa mara ya kwanza na Linnaeus. JinaLakini jina la kisayansi ya [[simba]] ni ''Panthera leo'' L.Linnaeus, 1758, kwa sababu pia mnyama huyu aliwekwa na Linnaeus katika utaratibu wa [[uainishaji wa kisayansi]].
 
==Majina ya astronomia==