Majina ya kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Masahihisho |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Majina ya kisayansi'''
==Historia ya majina ya kisayansi==▼
Chanzo cha majina ya kisayansi ya kisasa kinapatikana katika [[Ulaya]] ya [[zama za mwamko]] (
Kutokana na misingi
Ushuhuda wake ni majina ya sayansi kwa lugha nyingi:▼
* [[Biolojia]] ni neno lililotungwa kwa kuunganisha maneno mawili ya Kigiriki βίος bios ([[uhai]]) na λόγος logos (neno, elimu)▼
*
Mifano mashuhuri ni kitabu cha "Species Plantorum" (Aina za mimea) cha [[Carl Linne]] kilichoandikwa kwenye mwaka [[1753]] kwa Kilatini na kuwa msingi wa [[uainishaji wa kisayansi]] katika biolojia hadi leo. ▼
==Majina ya sayansi katika biolojia==
Utaratibu wa [[uainishaji]] wa [[wanyama]] na [[mimea]] ulioanzishwa na [[Carl Linnaeus]] unaendelea kufuatwa hadi leo, hivyo
Hadi leo [[spishi]] za mimea zilizoainishwa na Linnaeus zinatajwa kwa herufi "L." baada ya jina la kisayansi. Kwa mfano, [[mpunga]] ni mmea wa jenasi inayotajwa kwa jina la kisayansi kama ''Oryza'' (L.) na "L." katika [[mabano]] inaonyesha kwamba jenasi
==Majina ya astronomia==
Line 50 ⟶ 60:
| first26=Andrea
}}</ref>
▲==Historia ya majina ya kisayansi==
▲Chanzo cha majina kisayansi ya kisasa kinapatikana katika Ulaya ya [[zama za mwamko]] (ing. ''renaissance''). Katika kipindi hiki pamoja na karne zilizofuata misingi ya mfumo wa sayansi ya kisasa ulitokea. Wakati ule lugha ya elimu kote Ulaya ilikuwa Kilatini ambacho ilikuwa lugha ya Roma ya Kale iliyoendelea kutumiwa kama lugha ya dini, sayansi na elimu kwa jumla. Pamoja na Kilatini wataalamu wengi wa Ulaya walijifunza pia Kigiriki cha Kale ambacho ilikuwa lugha siyo tu ya Agano Jipya lakini pia lugha ya vitabu vya kale vilivyosomwa upya ambamo watu walijifunza upya elimu ya zamani iliyosahauliwa kiasi katika karne zilizotangulia.
▲Kutokana na misingi hii vyanzo vya mapatano kuhusu istilahi na majina ya kisayansi vilitumia lugha ya Kilatini pamoja na maneno mengi ya Kigiriki.
▲Ushuhuda wake ni majina ya sayansi kwa lugha nyingi:
▲* Biolojia ni neno lililotungwa kwa kuunganisha maneno mawili ya Kigiriki βίος bios (uhai) na λόγος logos (neno, elimu)
▲* Jiometria ni neno lililotungwa kwa kuunganisha maneno mawili ya Kigiriki γεω geo (Dunia, ardgi) na μετρία metria (upimaji)
▲Mifano mashuhuri ni kitabu cha Species Plantorum (Aina za mimea) cha [[Carl Linne]] kilichoandikwa kwenye mwaka 1753 kwa Kilatini na kuwa msingi wa uainishaji wa kisayansi katika biolojia hadi leo.
==Marejeo==
<references/>
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Uainishaji]]
|