Mkoa wa Rukwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 24:
|established_date =
|area_magnitude =
|area_total_km2 = 7524022792
|area_land_km2 =
|area_water_km2 =
|idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa = 20022012
|population_note =
|wakazi_kwa_ujumla = 1,141540,743519
|latd=7|latm=0 |lats=|latNS=S
|longd=31|longm=30 |longs=|longEW=E
Mstari 40:
 
[[Picha:Rukwa Mkoa.png|thumb|right|300px|Mkoa wa Rukwa kabla haujamegwa upande wa kaskazini (2012).]]
'''Mkoa wa Rukwa''' ni mmojawapo kati ya [[mikoa]] [[Mikoa ya Tanzania|31 ya]] [[Tanzania]] wenye [[postikodi]] [[namba]] '''55000'''.
 
'''Mkoa wa Rukwa''' ni mmojawapo kati ya [[mikoa]] 31 ya [[Tanzania]] wenye [[postikodi]] [[namba]] '''55000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/rukwa.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>. Unapakana na mikoa ya [[Mkoa wa Kigoma|Kigoma]], [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] na [[Mkoa wa Katavi|Katavi]] upande wa [[kaskazini]], [[mkoa wa Mbeya]] upande wa [[mashariki]], [[Zambia]] [[kusini]] na upande wa [[magharibi]] [[Ziwa Tanganyika]] lililo mpaka na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo]] pia.
 
[[Makao makuu]] ya mkoa ni [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga]].
 
Kabla ya kumegwa mwaka [[2012]] eneo la mkoa lilikuwa takriban [[Kilomita ya mraba|km²]] 70,000. Kwa sasa lina kilomita ya mraba 22,792.

Kusini mwa mkoa liko [[ziwa Rukwa]] ambalo ni kati ya [[Maziwa makubwa ya Afrika|maziwa makubwa]] ya [[Afrika ya Mashariki]].
 
== Wilaya ==
Line 58 ⟶ 61:
 
== Wakazi ==
Kulikuwa na wakazi 1,141540,743519 (sensa 2002ya mwaka 2022<ref>https://assengaonline.com/2022/11/05/matokeo-ya-sensa-2022-tanzania/</ref>), kwa [[asilimia]] kubwa waumini wa [[Kanisa Katoliki]].
 
[[Kabila]] kubwa zaidi mkoani ndio [[Wafipa]] walioko hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Kati ya makabila mengine kuna [[Wamambwe]]-Lungu, [[Wawanda]] na [[Wanyamwanga]] katika wilaya ya Sumbawanga; kuna pia [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]] na [[Wamasai]].
Line 81 ⟶ 84:
* Matokeo ya sensa 2002: [https://web.archive.org/web/20031215153518/http://www.tanzania.go.tz/census/census/rukwa.htm]
* Makabila na lugha za Tanzania: [http://www.ethnologue.com/show_country.asp?name=Tanzania]
 
{{Mikoa ya Tanzania}}
{{mbegu-jio-rukwa}}
 
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|R]]
[[Jamii:Mkoa wa Rukwa| ]]