Yohane Mbatizaji Chon Changun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing Korean_martyrs.jpg, it has been deleted from Commons by Krd because: No permission since 9 November 2022.
Mstari 1:
[[File:Korean martyrs.jpg|thumb|250px|Wafiadini wa Korea walivyochorwa katika [[patakatifu]] pa [[Kisiwa Jeju]].]]
'''{{PAGENAME}}''' (alifariki [[Nei-Ko-Ri]], [[9 Machi]] [[1866]]) alikuwa [[baba]] wa [[nyumba|nyumbani]] aliyefanya [[utume]] kwa [[Ubatizo|kubatiza]] watu na kuchapa [[Kitabu|vitabu]] vya [[Ukristo|Kikristo]]. Kwa ajili hiyo waliteswa sana, lakini walidumu katika [[imani]] kwa kuvumilia yote kiasi cha kushangaza watesi wao.