Bendera ya Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Flag of England.svg|right|thumb|250px|Bendera ya Uingereza]]
[[Image:Union Jack historia.PNG|thumb|300px|'''Bendera ya Uingereza''' kama sehemu ya Bendera ya Ufalme wa Maungano ya Britania]]
'''Bendera ya [[Uingereza (nchi)|Uingereza]]''' ni msalaba mwekundu kwenye uga nyeupe. Msalaba ni ya aina ya [[Mt. George]] yaani mikono yake hukutana katikati.
 
Msalaba wa Mt. George humkumbusha mtakatifu huyu wa historia ya [[Ukristo]] anayesemekana amemwua [[joka]]. Ndiye mtakatifu wa kitaifa wa ulinzi wa Uingereza.