'''Bedřich Smetana''' ( [[ 22 Machi]] [[1824]] - [[12 Mei]] [[1884]]) alikuwa mtunzi maaurufu wa [[opera]] kutoka katika [[Ucheki|Jamhuri ya Watu wa Cheki]]. Naye alikuwa mmoja wa waunzi maarufu wa karne ya 18 na 19-[[Romantic period]].
Muziki wake ulikuwa wa mwundo wa kikwao yaani, [[Ucheki]]. Alitunga opera nane zenye kuelezea haditihi za utaifa wa watu wa [[Ucheki|Cheki]]. Pia alitunga nyimbo sita ambazo zilikuwa zikisifia nchi yake, moja kati ya nyimbo hizo ni Ma Vlast ambayo inamaana ya “Nchini Kwangu”.
==Viungo vya nje==
* [http://members.aol.com/abelard2/bohemia.htm The Composers of Bohemia]