Kanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Ondoleo la maana
 
Mstari 1:
'''Kanda''' ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
 
*Kanda(jina) – mgawamnyiko wa maeneo kutokana na kufanana kwa tabia nchi.
*[[Kanda (kifaa)]] – kifaa kinachotumika kuhifadhia kumbukumbu kwa njia ya sauti.
*Kanda(kitenzi) – tendo la kuminyaminya kwa kitambaa kilichochovya kwenye maji ya moto au vuguvugu ili kupumguza maumivi au uvimbe katika mwili.