Luzon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.2
 
Mstari 1:
[[File:Ph locator map luzon.png|thumb|Picha ya ramani ikionyesha Sehemu ya Luzon kati ya visiwa vya Ufilipino]]
'''Luzon''' ni [[kisiwa]] kikubwa zaidi katika [[Ufilipino]]. Iko [[kaskazini]] mwa nchi. [[Mji mkuu]] wa [[Manila]] uko Luzon, pamoja [[jiji]] la [[Quezon]] ambalo ni jiji kubwa nchini <ref>[http://islands.unep.ch/IHE.htm#898 Islands of Philippines, Luzon] {{Wayback|url=http://islands.unep.ch/IHE.htm#898 |date=20190428003606 }}, tovuti ya [[UNEP]] , iliangaliwa Oktoba 2019]</ref>.
 
Eneo la Luzon ni [[kilomita za mraba]] 108,172 na [[idadi]] ya wakazi ni zaidi ya [[milioni]] 48.