Drogo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Sanamu ya Mt. Drogo.]] '''Drogo''' (pia: '''Dreux, Drugo, Druron'''; Epinoy, Artois, leo nchini [...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Église Saint-Druon de Sebourg 29.JPG|thumb|[[Sanamu]] ya Mt. Drogo.]]
'''Drogo''' (pia: '''Dreux, Drugo, Druron'''; [[Epinoy]], [[Artois]], leo nchini [[Ufaransa]], [[14 Machi]] [[1105]] - [[Sebourg]], Ufaransa [[Kaskazini]], [[16 Aprili]] [[1186]] hivi) aliishialikuwa [[Ukristo|Mkristo]] aliyetamani [[maisha]] manyofu na upweke. Kwa ajili hiyo kwa miaka mingi bilaalifanya [[kazi]] ya [[Mchungaji|kuchunga]] na hakuwa na makao maalumu, kwa kutembeleaakitembelea [[patakatifu]] mbalimbali, halafu akawa [[mkaapweke]] katika [[chumba]] kidogo kilichounganika na [[kanisa]]<ref>''Drogo of Sebourg, Hermit (RM), Saint of the Day, Saint Patrick Catholic Church, Washington, D.C.''</ref><ref>{{cite book |last1=Cruz |first1=Joan Carroll |title=Mysteries, Marvels, Miracles in the Lives of Saints |date=1997 |publisher=TAN Books |url=https://www.google.com/books/edition/Mysteries_Marvels_and_Miracles/AzEqCgAAQBAJ?hl=en&gbpv=1&bsq=saint%20drogo}}</ref><ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/92331</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].