Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Skauti huhitajika kuwepo kwa kila [[shule]] za [[sekondari|sekondari duniani]].
 
[[Mwanzilishi]] wa uskauti [[duniani]] ([[1907]]) alikuwa [[Robert Baden-Powell]] ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]]. Leo hii wako skauti milioni waliounganisha katika makundi na vyama vingi; idadi kubwa aidi nni wanachama katika [[Shirika la Kimataifa la Harakati za Skauti Duniani]] linalounganisha skauti milioni 57<ref>https://www.scout.org/</ref> kote duniani.
 
== Kanuni za skauti ==