Peter Chanel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Petro Shanel alizaliwa mjini [[Cuet]], [[Ufaransa]] mwaka 1803.
 
Baada ya kupata [[upadrisho]] alishughulika na [[uchungaji]] nchini mwake kwa miaka michache, akiwajibika hasa kwa ajili ya [[Mkulima|wakulima]] na [[malezi]] ya [[Ujana|vijana]].
 
Halafu aliingia [[Shirika la Maria]], akaendaakatumwa akatumwa katika [[Kisiwa|visiwa]] vya [[Oceania]] pamoja na wenzake kadhaa kuhubiri [[Injili]] mahali ambapo ilikuwa haijatangazwa.
 
Licha ya matatizo mengi alifaulu kwa [[upole]] wake kuwaongoa watu kadhaa katika kisiwa cha [[Futuna]], akiwemo [[Mtoto|mwana]] wa [[mfalme]]. Kwa sababu ya kuchukiwa kwa [[imani]] ya [[Ukristo]], alikamatwahuyo kwa [[hasira]] aliagiza akamatwe na kuuawa kwa kupigwa rungu katika kisiwa cha [[Futunarungu]], mwaka 1841.
 
==Tazama pia==