Mnara wa Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Katika mapokeo ya Mwanzo 11 Babeli ilikuwa mji wa kwanza uliojengwa baada ya gharika kuu. Watu waliamua kuwa na jengo kubwa katika mji na kilele chake kifike mbinguni. Mpango huu haukupendezwa na Mungu aliyechanganya lugha ya watu walioachana baadaye bila kukamilisha mnara mkubwa.
 
Kihistoria si wazi ni kipindi gani kinachoangaliwa katika simulizi la Mwanzo 11. Inaonekana ya kwamba wasimulizi walikuwa na habari za [[piramidi]] au [[zigurat]] kubwa zilizokuwepo Babeli na penginepo katika [[Mesopotamia]].
 
==Maelezo ya Kiimani==