Bakaffa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:30, 21 Julai 2006

Bakaffa (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 18 Mei 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Dawit III. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza Asma Sagad, halafu Masih Sagad. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni Iyasu II.