Yohane Yi Munu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Korean_martyrs.jpg, it has been deleted from Commons by Krd because: No permission since 9 November 2022.
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.3
 
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' (alifariki [[Seoul]], [[1 Februari]] [[1840]]) ni mmojawapo katika [[kundi]] kubwa la [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Korea]] waliouawa kwa ajili ya [[imani]] yao katika miaka [[1791]]–[[1888]]. Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.
 
Yeye na wenzake 102 walitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[watakatifu]] [[tarehe]] [[6 Mei]] [[1984]].<ref>[{{Cite web |url=http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html |title=Korea and the church of martyrs] |accessdate=2020-04-07 |archivedate=2020-01-25 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20200125224009/http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html }}</ref>
 
[[Sikukuu]] ya hao [[Wafiadini wa Korea]] huadhimishwa tarehe [[20 Septemba]], lakini ya kwake mwenyewe na ya wenzake [[Paulo Hong Yongju]] na [[Barbara Choe Yongi]] tarehe 1 Februari<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>. Paulo alikuwa [[katekista]], Yohane alikuwa maarufu kwa kusaidia [[maskini]] na kuzika wafiadini, Barbara alikuwa ameshauliwa [[mume]] na [[wazazi]] kwa ajili ya [[Masiya|Kristo]]. Wote watatu walikatwa [[kichwa]].