Alois Beaulieu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Korean_martyrs.jpg, it has been deleted from Commons by Krd because: No permission since 9 November 2022.
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.3
 
Mstari 3:
[[Padri]] huyo [[mmisionari]] alikatwa [[kichwa]] pamoja na [[askofu]] [[Simeoni-Fransisko Berneux]] na [[mapadri]] wawili wa shirika lake: [[Yusto Ranfer]] na [[Petro-Henri Dorie]] kwa sababu, walipoulizwa na watesi wamefika Korea kufanya nini, walijibu kwa [[ujasiri]] na [[unyofu]] kwamba wana lengo la [[Wokovu|kuokoa]] watu kwa [[jina]] la [[Yesu]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/92284</ref>.
 
Hao na [[wafiadini]] wenzao 99 walitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[watakatifu]] [[tarehe]] [[6 Mei]] [[1984]].<ref>[{{Cite web |url=http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html |title=Korea and the church of martyrs] |accessdate=2020-04-07 |archivedate=2020-01-25 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20200125224009/http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html }}</ref>
 
[[Sikukuu]] ya hao [[Wafiadini wa Korea]] huadhimishwa tarehe [[20 Septemba]].