The Italian Job : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''The Italian Job''' ni filamu ya mwaka 2003 yenye vituko-kupigana. Filamu iliongozwa na F. Gary Gray, na nyota wa filamu ni Jason Statham, Mark Wahlberg, Charlize Theron,...

Marekebisho kadhaaa...
Mstari 1:
{{Filamu
| rangi = Golden
| jina = The Italian Job
| picha = The Italian Job 2003.jpg
| maelezo ya picha = Kasha ya filamu ya The Italian Job
| imeongozwa na = F. Gary Gray
| imetungwa na = Donna Powers
Wayne Powers
[[Troy Kennedy-Martin]]
| imetaarishwa na = Tim Bevan
Donald De Line
Jim Dyer
| nyota = [[Mark Wahlberg]]
[[Jason Statham]]
[[Charlize Theron]]
[[Edward Norton]]
[[Donald Sutherland]]
[[Seth Green]]
[[Mos Def]]
| muziki = John Powell
| imehaririwa na = Richard Francis-Bruce
Christopher Rouse
| imesambazwa na = Paramount Pictures
| muda = dk. 111
| imetolewa tar. = [[30 Mei]], [[2003]]
| nchi = [[Marekani]]
| lugha = [[Kiingereza]]

'''The Italian Job''' ni filamu ya mwaka [[2003]] yenye vituko-kupigana. Filamu iliongozwa na F. Gary Gray, na nyota wa filamu ni [[Jason Statham]], [[Mark Wahlberg]], [[Charlize Theron]], Edward Norton na Donald Sutherland. Filamu inarejea jina sawa na ile filamu halisi ya awali iliyochezwa na nyota Michael Caine kunako miaka ya [[1969]].
==Njama==
===Muhtasari wa filamu===
Filamu inaazia mjini [[Venice]], [[Italia]], tunakutana na kiongozi wa wanakikosi cha filamu hii Bw. John Bridger (Donald Sutherland) akiwa anampigia simu binti yake aitwae Stella ([[Charlize Theron]]) huku baba wa binti huyo akimweleza mwanae kwamba "hii ndiyo kazi yangu ya mwisho" (mazungumzo kupitia simu).

John kisha akakutana mmoja kati ya wanamipango wenzi "mzee wa kazi" Charlie ([[Mark Wahlberg]]) ili kujadiliana kuhusu mipango ya kazi. John na Charlie ni washikaji sana, na wawili hao wanaheshimiana kwa kiasi kikubwa kabisa.

Baada ya hapo Charlie akapanga mpango wa kuweza kuiba kijumbamshale chenye fito za dhahabu ndani yake. Kweli mpango ulifana. Baada ya mpango kukamilika, ikabidi wanakundi wote wakutane kivukoni ili kuweza kujua nini kitakacho endelea baada ya mpango kufanikiwa.

Haya, mpango ulifaulu na sherehe zikaanza juu ya ushindi huo, lakini shangwe hizo hazikudumu kwa muda mrefu kwani mmoja kati ya wanakundi akawasaliti wenziwe (Steve) alikuwa na mpango wake binafsi, na hakupoteza muda kwa kuisubira dhahabu hiyo, akamwua Bridger, kisha akaondoka zake huku akiliacha kundi likiwa taabani. Kwa bahati nzuri waliponyeka, na wakaanza kupanga mpango mwingine wa kulipiza kisasi dhidi ya kitendo alicho kifanya Steve (Edward Norton).
==Washiriki==
{| class="wikitable"
|- bgcolor="CCCCCC"
! Mwigizaji !! Jina alilotumia

| [[Mark Wahlberg]] || [[Charlie Croker]]

| [[Charlize Theron]] || Stella Bridger

| [[Jason Statham]] || Handsome Rob

| [[Edward Norton]] || Steve Frazelli

| [[Donald Sutherland]] || John Bridger

| [[Seth Green]] || Lyle/"The Real Napster"

| [[Mos Def]] || Left Ear

| [[Franky G]] || Wrench

==Marejeo kwa Kiingereza==
# http://www.boxofficemojo.com/movies/?id=italianjob.htm
# http://au.rottentomatoes.com/m/italian_job/
# http://www.metacritic.com/film/titles/italianjob/
# http://www.imdb.com/title/tt0317740/awards
==Viungo vya nje==
*[http://www.italianjobmovie.com/ Official website ''The Italian Job'']
*{{imdb title|id=0317740|title=The Italian Job}}
*{{rotten-tomatoes|id=italian_job|title=The Italian Job}}
*{{metacritic film|id=italianjob|title=The Italian Job}}
* {{mojo title|id=italianjob|title=The Italian Job}}

[[Category:Filamu za Marekani]]
[[Category:Filamu za 2003]]
[[Category:Filamu za Kupigana]]
[[Category:Filamu]]

[[de:The Italian Job – Jagd auf Millionen]]
[[en:The Italian Job (2003)]]
[[es:The Italian Job]]
[[fr:Braquage à l'italienne]]
[[it:The Italian Job (film 2003)]]
[[he:הג'וב האיטלקי (2003)]]
[[nl:The Italian Job (2003)]]
[[ja:ミニミニ大作戦 (2003年の映画)]]
[[pt:The Italian Job (2003)]]
[[ru:Ограбление по-итальянски (фильм, 2003)]]
[[sr:Италијански посао (2003)]]
[[fi:The Italian Job]]
[[sv:The Italian Job]]
[[tr:İtalyan İşi (film, 2003)]]