John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:04, 21 Julai 2006

John Fisher (1469 – 22 Juni 1535) alikuwa padre Mkatoliki kule Uingereza. Pia aliitwa John wa Rochester. Alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la kikatoliki. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa ndani na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Mwaka wa 1935 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 9 Julai.