Spaghetti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Dr. Cox: You love spaghetti. You had some just last night, didn't ya?
[[Image:Spaghetti-cooking.jpg|200px|thumb|right|Spaghetti katika sufuria: maji ya chumvi yenye mafuta kidogo]]
[[Image:Spaghetti-prepared.jpg|200px|thumb|right|'''Spaghetti alla Napolitana''' ni pamoja na mchuzi wa nyanya na jibini iliyosagwa juu yake]]
'''Spaghetti''' ni chakula cha [[tambi]] chenye asili ya Ki[[italia]]. Ni tambi ya [[ngano]] na umbo ni nyembamba. Hupikwa katika maji kwa dakika chache na kuliwa na michuzi mbalimbali. Spaghetti ni aina moja ya chakula cha [[pasta]] na neno latumiwa wakati mwingine kutaja pasta kwa jumla.
 
Jack: No, I didn't!
Kutoka Italia chakula hiki kimeenea duniani kwa sababu hupikwa haraka ina shibe nzuri na kuna njia nyingi ya kubadilisha ladha yake. Kwa njia ya utani zimekuwa ishara kwa utamaduni wa Italia jinsi inavyoonekana katika filamu za [[Spaghetti Western]].
 
Dr. Cox: Jordan, the boy is lying to me.
 
Jordan: Oh, Perry, nobody likes a tattle-tail!
==Tahadhari za kupika spaghetti==
Spaghetti ni nyembamba hivyo kuna hatari kuzipika muda mrefu mno. Kimsingi Spaghetti ni unga la ngano tu hivyo ikipikwa mno hulainika sana na kuwa karibu ugali.
 
Jack: Nobody does, Perry!
Waitalia hupenda spaghetti "al dente" (ki-meno) yaani ziwe laini kiasi tu ili zisikike kidogo kwa meno wakati wa kula.
 
A handful of spaghetti is pelted into Perry's face.
Spaghetti kama tambi zote zafaa kupikwa katika maji mengi yenye [[chumvi]] kidogo. Kwa kawaida hungezwa kidogo mafuta kwenye maji yanayosaidia sizishikane wakati wa kutoa katika sufuria. Kuna aina za spaghetti kutoka Italia zenye urefu wa futi mbili. Lazima kuzivunja kulingana na upana wa sufuria.
 
Cut to...
==Michuzi==
JACK'S BEDROOM -- LATER
Kati ya michuzi ya kawaida ya spaghetti kuna hasa aina mbili:
Dr. Cox tucks Jack into bed.
 
Dr. Cox: All right, champ. Just in case you get hungry later on....
*"alla Napolitana" au kufuatana na kawaida ya [[Napoli]] ni mchuzi nzito wa nyanya na viungo kama vitunguu, vitunguu saumu na majani ya kuongeza ladha. Juu yake humwagwa jibini iliyosagwa. Wengine huongeza vipande vidogo sana vya nyama iliyokaangwa pamoja na vitunguu katika supu hii.
*"alla Bolognesa" au kufuatana na kawaida ya [[Bologna]]: ni mchuzi wa nyama iliyosagwa na kukaangwa katika sufuria pamoja na viungo.
 
A large handful of spaghetti is dropped on Jack's face.
Kuna aina nyingi kama vile "alla vongole" (na kome za bahari) au "carbonara" (mchuzi wa jibini, vipande vidogo vya nyama na yai) au "aglio e olio" (vitunguu saumu vilivyokaangwa kwa mafuta tu).
Cox laughs gleefully.
 
Jordan: Perry? What the hell? I just got a call from Jack's school. Apparently they served spaghetti for lunch, so he had some sort of Vietnam flashback.
[[Category:Chakula]]
[[Category:Tambi]]
 
[[ca:Espagueti]]
[[cs:Špagety]]
[[da:Spaghetti]]
[[de:Spaghetti]]
[[en:Spaghetti]]
[[es:Espagueti]]
[[eu:Espageti]]
[[fa:اسپاگتی]]
[[fi:Spagetti]]
[[fr:Spaghetti]]
[[he:ספגטי]]
[[hu:Spagetti]]
[[ia:Spaghetti]]
[[id:Spageti]]
[[it:Spaghetti]]
[[ja:スパゲッティ]]
[[jbo:cidjrspageti]]
[[ko:스파게티]]
[[lt:Spagečiai]]
[[nl:Spaghetti]]
[[nn:Spaghetti]]
[[no:Spaghetti]]
[[pl:Spaghetti]]
[[pt:Espaguete]]
[[ru:Спагетти]]
[[simple:Spaghetti]]
[[sk:Špagety]]
[[sl:Špageti]]
[[tr:Makarna]]
[[vi:Mỳ ống Italia]]
[[vls:Spaghetti]]
[[zh:意大利粉]]