Boutros Boutros-Ghali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ni --> alikuwa
d nimesahihisha Kigeni kuwa kigeni.
 
Mstari 4:
Alizaliwa katika familia ya Wakristo [[Wakopti]] mjini [[Kairo]]. Babu yake alikuwa waziri mkuu wa Misri. Baada ya shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha [[Kairo]] akamaliza 1946 akaendelea kuchukua shahada ya udaktari huko [[Ufaransa]].
 
Baada ya kufunza miaka kadhaa alipewa nafasi ya naibu waziri wa maswala ya Kigenikigeni chini ya rais [[Anwar as-Sadat]]. Akishughulika amani kati ya [[Israeli]] na Misri alisaidia pia kutiwa huru kwa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini [[Nelson Mandela]].
 
Kuanzia Januari 1992 hadi Januari 1997 alikuwa Katibu Mkuu wa UM, akiwa Mwafrika wa kwanza kwenye nafasi hii.