Soko la Hisa la Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
d nimehariri neno MAshariki kuwa Mashariki na hivo kuboresha kazi ya makala hii zaidi.
 
Mstari 2:
'''Soko la Hisa la Uganda''' ni [[soko la hisa]] la pekee nchini [[Uganda]]. Makao makuu yapo [[Kampala]]. Likaanzishwa mwaka 1197 na kuanza shughuli kwenye Januari 1998. Kazi yake inasimamiwa na [[Mamlaka ya Masoko ya Mitaji ya Uganda]] (Uganda Capital Markets Authority) iliyoko chini ya [[Benki Kuu ya Uganda]]. Ni mwanachama wa ushirikiano wa masoko ya hisa ya Afrika.
 
1998 hisa za pekee zilizofanyiwa biashara zilikuwa zile za [[Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki]] (EADB) na hadi sasa kuna makampuni 9 katika Afrika ya MAsharikiMashariki yaliyoandikishwa sokoni. Siku za biashara ni Jumatatu, Jumanne na Alhamisi.
 
==Makampuni==
Mstari 17:
==Viungo vya nje==
*{{en}} [http://www.use.or.ug/home.asp Soko la hisa la Uganda] {{Wayback|url=http://www.use.or.ug/home.asp |date=20080304001119 }}
*(kiingereza) [https://moneyaccounts.com/learn/advantages-of-ugandan-stoke-market/ Faida za soko la hisa la Uganda] 6 Agosti 2011.
 
{{mbegu-uchumi}}