Bandari asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Lightmatter Avalon Bay.jpg|thumb|300px|Vidaka vinafaa kama bandari asilia]]
[[Image:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|300px|Bandari ya Dar es Salaam kwenye mdomo pana wa mto Kurasini unaoingia barani kwa kilomita kadhaa]]
'''Bandari asilia''' ni mahali panapofaa kama kituo cha meli kutokana na tabia zake za kiasili. Nafasi ya aina hii inapatikana mara nyingi katika [[kidaka]], kwenye [[hori]] au mdomoni wa [[mto]] penye kinga dhidi ya upepo na hasa mawimbi ya bahari. Tabia nyingine inayohitajika ni kina cha maji kinacholingana na mahitaji ya meli zinazotumia bandari.