Kenya African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d nimesahihisha ilipos kuwa ilipo
d nimesahihisha Gichuru alipatiya kiti chake kuwa Gichuru alipatia kiti chake
Mstari 2:
 
==Chama cha uhuru==
Chama kilianzishwa [[1960]] na wanasiasa waliyekuwa wanachama wa Kenya African Union ilichoanzishwa mwaka [[1944]] kwa jina la Kenya African Study Union. Jina likabadilishwa haraka kuwa "'''Kenya African Union'''" likabaki hivyo hadi [[1952]] KAU iliposimamishwa na serikali ya ukoloni. Mwenyekiti wa KAU ilipo ajiliwa alikuwa [[James Gichuru]]. Gichuru alipatiyaalipatia kiti chake cha uongozi [[Jomo Kenyatta]] wakati Kenyatta aliporudi Kenya baada ya miaka 20 ngambo. Gichuru angerudia tendo hili wakati alipochaguliwa kuongoza KANU ilipofufuliwa kupigania uchaguzi ambayo ingekuwa [[1963]]. Kenyatta angeendelea kuongoza hiki chama tangu mwaka [[1960]] hadi kifo chake 1978. Tangu Oktoba 1978 [[Daniel Arap Moi]] akawa kiongozi wa chama.
 
==Chama cha pekee==