Nikeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 17:
| mengineyo =
}}
[[image:Nickel Briketts.jpg|thumb|]]
 
'''Nikeli''' ni [[dutu sahili]] ya [[metali]] na [[elementi]]. [[Namba atomia]] yake ni 28 katika [[mfumo radidia]], [[uzani atomia]] ni 58.6934. Katika mazingira ya kawaida ni [[metali]] ngumu yenye [[rangi]] [[Rangi nyeupe|nyeupe]]. [[Alama]] yake ni '''Ni'''.
 
Nikeli huyeyuka kwa 1728 [[K]] (1455 [[°C]]) na kuchemka kwa 3186 K (2913 °C).
 
Inaonyesha [[uchumasumaku]] kama [[chuma]]. Haijibutiki rahisi na [[oksijeni]], hivyo inatumiwa sana pamoja na chuma au metali kwa mchanganyiko au kama ganda la nje kwa kusidi la kuzuia [[kutu]].
 
Ina hatari zake kwa [[afya]] ya kibinadamu[[binadamu]]. Watu wasio wachache hupata [[mziro]] wakigusa nikeli mara kwa mara. Kwa sababu hiyo vifaa vya kiganga vilivyokuwa vya nikeli siku hizi vinatengenezwa ama na nikeli kidogo au bila.
 
Kiasi cha [[miligramu]] 50 kinatosha kumdhuru au hata kumwua mtu.
 
Nikeli iligunduliwa [[mwaka]] wa [[1751]], lakini, muda mrefu kabla ya hapo, [[Uchimbaji madini|wachimbaji]] wa Saxon walijua vizuri madini hayo, ambayo yalionekana kama [[shaba]] na ilitumika katika utengenezaji wa [[glasi]] kwa [[uchoraji]] glasi kijani.<ref>[https://oniks-krep.ru/blog/o-krepezhe/chto-takoe-khimicheskoe-nikelirovanie/ Historia ya nikeli]</ref>
[[image:Nickel Briketts.jpg|thumb|]]
 
== MaelezoTanbihi ==
<references />
{{mbegu-kemia}}