Kuponi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d nimeondoa nafasi iliyokuwa imezidishwa kwenye sentensi ili kuifanya kuwa sahihi na kuongeza taarifa zaidi kuhusu kuponi |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Tem_phiếu_thời_bao_cấp.jpg|thumb|Kuponi]]
'''Kuponi''' (kutoka [[Kiingereza]] "coupon"), katika mada ya [[soko]] na [[uuzaji]], ni [[tiketi]], kijifurushi ama kijikaratasi ambacho kinaweza kukombolewa kwa [[fedha]] na kurejeshwa wakati wa [[ununuzi]] wa [[Kitu|vitu]]. Kuponi ni njia moja ya kuwapa [[mteja|wateja]] [[punguzo]] la [[bei]] kwa [[bidhaa]] wanazozinunua.
Kawaida kuponi hutolewa na watengenezaji ili itumike ndani ya uuzaji kama njia moja ya kukuza mauzo. Mara kwa mara husambazwa kupitia [[bahasha]], [[magazeti]], [[wavuti]] kama vile [[mitandao ya kijamii]], [[barua pepe]], moja kwa moja kutoka kwa [[muuzaji]], [[simu]] kama vile [[rununu]] ama [[simu ya mkononi]].
{{mbegu-uchumi}}
[[Jamii:Uchumi]]
|