Beda Mheshimiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Add 1 book for verifiability (20230117)) #IABot (v2.0.9.3) (GreenC bot
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Nuremberg Chronicle Venerable Bede.jpg|thumb|Beda Mheshimiwa alivyochorwa katika [[Kumbukumbu za Nuremberg]].]]
[[Picha:Bede.jpg|thumb|225px|right|[[Kaburi]] la Beda katika [[kanisa kuu]] la [[Durham]].]]
'''Beda''' maarufu kama '''Mheshimiwa''' tangu enzi za [[uhai]] wake (Wearmouth-Jarrow, [[Northumberland|Northumbria]], leo nchini [[Uingereza]], [[672]] au [[673]] – [[25 Mei]] - Wearmouth-Jarrow, [[735]]) alikuwa [[mmonaki]], [[padri]], [[mwanateolojia]] na [[mwanahistoria]] [[nchi]]ni [[Uingereza]].
 
[[Mtumishi]] wa [[Yesu|Kristo]] [[monasteri|monasterini]] tangu [[umri]] wa miaka minane hadi [[Mauti|kifo]] chake, alitumia [[maisha]] yake yote kutafakari na kufafanua [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]; pamoja na kushika kila siku [[nidhamu]] ya kimonaki na kumuimbia [[Mungu]] [[kanisa|kanisani]], alipenda daima kujifunza, kufundisha na kuandika.
Hasa anafahamika kwa kitabu chake “Historia ya kikanisa ya taifa la Waingereza” (kwa [[Kilatini]]: ''Historia ecclesiastica gentis Anglorum''). Akiona [[Kanisa]] lilivyozidi kustawi kati ya mataifa mapya, alipenda kuonyesha lisivyobanwa na [[ustaarabu]] mmoja, bali linakumbatia kila aina ya [[utamaduni]] ili kuikamilisha katika [[Kristo]].
 
Hasa anafahamika kwa [[kitabu]] chake “Historia ya kikanisa ya taifa la Waingereza” (kwa [[Kilatini]]: ''Historia ecclesiastica gentis Anglorum''). Akiona [[Kanisa]] lilivyozidi kustawi kati ya [[Taifa|mataifa]] mapya, alipenda kuonyesha lisivyobanwa na [[ustaarabu]] mmoja, bali linakumbatia kila aina ya [[utamaduni]] ili kuikamilisha katika [[Kristo]].
Beda alichangia kwa kiasi kikubwa uenezaji wa hesabu ya miaka [[baada ya Kristo]] kuzaliwa.
 
Beda alichangia kwa kiasi kikubwa uenezaji wa [[hesabu]] ya miaka [[baada ya Kristo]] kuzaliwa.
Mwaka [[1899]] alitangazwa na [[Papa Leo XIII]] kuwa [[mtakatifu]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
[[Mwaka]] [[1899]] alitangazwa na [[Papa Leo XIII]] kuwa [[mtakatifu]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Mei<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.