Maharaja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Hali halisi cheo cha "maharaja" hakikulingana mara nyingi na uwezo halisi wa watawala kwa sababu wengi wao walikuwa na maeneo madogo lakini Waingereza walikubali kuwapa vyeo vikubwa badala ya madaraka halisi.
 
Kati ya maharaja waliotawala maeneo makubwa walikuwa wale wa [[Mysore]] na wa [[Jammu na Kashmir]]. Mtawala wa dola kubwa kabisa la kujitawala hakutumia cheo cha maharaja alikuwa [[Nizam]] wa [[Hyderabad]].[[Jina la kiungo]]
 
Wakati wa uhuru wa [[Uhindi]] na Pakistan kama [[jamhuri]] madola madogo yalifutwa na cheo cha maharaja kilipigwa marufuku.