Msongozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania. ==Marejeo== {{marejeo}} {{Kata za Wilaya ya Mvomero}} {{mbegu-jio-morogoro}} Jamii:Wilaya ya Mvomero Jamii:Kata za Mkoa wa Morogoro'
 
idadi ya vijiji na vitongoji, shughli zinazofanika, makabila yanayopatikana, n.k.
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Mvomero]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania|Tanzania. Kata ya Msongozi ina vijiji vitatu; navyo ni Msongozi, Mkata, na Mtipule. Kijiji cha Msongozi ndicho kijiji kikubwa zaidi. Kijiji hiki kina vitongoji 10; navyo ni Mbogeni, Pasua, Kwata Stoo, Gwata Msikitini, Mwenyemla, Gole (Majengo), Kitanga, Mishieni (Mission), Lusanga, na Yowe. Makao makuu ya Kata ya Msongozi yapo Gwata Stoo, na ndio kitongoji mjini zaidi kwa kata nzima kikifuatiwa na Gwata Msikitini. Lusanga na Yowe ni maarufu kwa mazao ya chakula na biashara kama vile mahindi, maharage, mbaazi, ndizi na mhihogo. Gwata Stoo na Msikitini ni maarufu zaidi kwa maduka na kilimo cha biashara cha nyanya. Mishieni ni maarufu kwa kuwa ni gulio kuu la bidhaa za kilimo hasa kutoka Lusanga na Yowe. kijiji cha Mkata kinapakana na wilaya ya Kilosa, na ni maarufu kwa uvuvi wa samaki na kilimo cha mpunga.]]
'''{{PAGENAME}}''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Mvomero]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]].
 
 
==Marejeo==
'''Wakazi wa kata ya Msngozi'''
{{marejeo}}
 
Wakazi wa asili wa kata hii ni Waluguru. Wageni kutoka mikoa mbalimbali ya tanzania wamehamia kwenye kata hii, wakiwemo Wahehe na Masai. Maasai ni wafugaji waliofika hapa kwa kuhamahama lakini kutokana na hali bora ya malisho kwa mifugo yao wamelazimika kuwa na makazi ya kudumu hapa.{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Mvomero}}
{{mbegu-jio-morogoro}}