Mjasiriamali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza viungo
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Nimeongeza viungo
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 4:
Mjasiriamali mara nyingi huonekana kama mbunifu, chanzo cha mawazo anzilishi, mwenye kuvumbua [[bidhaa]] au [[huduma]] mpya na biashara. Pia mjasiriamali ni mtu anayeweza kusaidia sana maendeleo ya kiuchumi nchini mwake, ndiyo maana nchi tajiri zaidi duniani zina wajasiriamali wengi na mashuhuri sana, yaani, ujasiriamali unaonekana kama lazima kwa uboreshaji wa hali ya kiuchumi katika nchi yoyote. <ref>{{Cite web|title=What You Should Know About Entrepreneurs|url=https://www.investopedia.com/terms/e/entrepreneur.asp|work=Investopedia|accessdate=2020-02-13|language=en|author=Adam Hayes}}</ref>
 
Mjasiriamali huwa na [[jukumu]] muhimu katika [[uchumi]] wowote, kwa kutumia ustadi wa kijasiriamali na kuleta maoni mazuri katika [[soko]].<ref>{{Cite web|title=What You Should Know About Entrepreneurs|url=https://www.investopedia.com/terms/e/entrepreneur.asp|work=Investopedia|accessdate=2020-02-13|language=en|author=Adam Hayes}}</ref> Ujasiriamali ni tendo la kuwa mfanyabiashara, au "mmiliki au meneja wa kampuni ya biashara ambaye, kwa hatari na jitihada, anajaribu kupata faida". Wajasiriamali hufanya kazi kama mameneja na kusimamia uzinduzi na ukuaji wa kampuni. Ujasiriamali ni mchakato ambao mtu binafsi au timu huitambua fursa ya biashara na kuchukua na kutumia rasilimali muhimu zinazohitajika kwa ajili ya kuitumia.[[File:Aliko_Dangote.jpg|220x124px|thumb|right|Mjasiriamali Aliko Dangote kutoka Nigeria]]
.Ujasiriamali ni tendo la kuwa mfanyabiashara, au "mmiliki au meneja wa kampuni ya biashara ambaye, kwa hatari na jitihada, anajaribu kupata faida". Wajasiriamali hufanya kazi kama mameneja na kusimamia uzinduzi na ukuaji wa kampuni. Ujasiriamali ni mchakato ambao mtu binafsi au timu huitambua fursa ya biashara na kuchukua na kutumia rasilimali muhimu zinazohitajika kwa ajili ya kuitumia.[[[:en:Entrepreneurship]]
 
==Marejeo==