Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki''' ([[Kijerumani]]: Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft (DOAG)) ilikuwa shirika ya binafsi iliyoundwa na [[Karl Peters]] iliyoanzishaikaanzisha koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
 
Ilianzishwa kwa jina la "Shirika kwa koloni za Kijerumani" mwaka 1884. Wawakilishi wake walifaulu mwaka uleule kujipatia mikataba na machifu na masultani wa Afrika ya Mashariki upande wa mashariki wa maeneo chini ya utawala wa Zanzibar kwenye pwani.