Mchikichi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
'''Mchikichi''' ('''Elaeis guineensis''') ni kati ya [[miti]] iliyo muhimu zaidi kiuchumi. Matunda yake huleta [[mawese]] ambayo hutumika sana kama [[mafuta ya kupikia]], kwa ajili ya madawa mbalimbali na siku hizi pia kama [[diseli]].
 
Asili yake iko [[Afrika ya Magharibi]]. Jina la kisayansi „Elaeis guenesis“ limepewa kwa sababu kiasili ilipatikana kwa wingi katika nchi za [[Guinea]]. Siku hizi inakuzwa zaidi katika [[Amerika]] na hasa [[Asia]] ya kusini.
 
Mti unakua hadi kimo cha 30 m. Matunda yake ni madogo yakiwa pamoja kwa shingo. Jumla ya mti mmoja laweza kufikia 50 KG. Matunda haya huharibika haraka hivyo ni muhimu kuyashughulika mara moja baada ya mavuno.
 
Asili yake iko [[Afrika ya Magharibi]]. JinaMti ulipewa jina la kisayansi „Elaeis guenesis“ limepewa kwa sababu kiasili ilipatikana kwa wingi katika nchi za [[Guinea (kanda)|kanda ya Guinea]]. Siku hizi inakuzwa zaidi katika [[Amerika]] na hasa [[Asia]] ya kusini.
 
==Nchi asilia za mchikichi==
Kabla ya ukoloni michikichi ilipatikana katika kanda ya kitropiki ya Afrika.
 
Kwanza katika nchi za kanda ya [[Guinea (kanda)|Guinea]]: [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Benin]], [[Nigeria]], [[Senegal]], [[Sierra Leone]], [[Togo]].
 
Lakini imepatikana pia Afrika ya Mashariki: [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Uganda]].
==Migunda ya michikichi==
[[Category:Palmaceae]]
Migunda mikubwa ya michikichi iko hasa [[Malaysia]] na [[Indonesia]] zenye mavuno ya 80% ya mawese duniani.
 
[[Brazil]] na [[Kolumbia]] ziemanza vilevile kupanda michikichi kwa wingi.
 
[[Uthai]], [[Papua–Guinea Mpya]] na nchi za Afrika ya Magharibi zinachangia asilimia ndogo kwenye soko la dunia ya mawese. Katika Afrika kuna migunda mikubwa kidogo huko Nigeria, [[Côte d'Ivoire]], Kamerun na [[Kongo Kinshasa].
 
 
[[Category:Palmaceae (Arecaceae)]]
[[Category:Mimea]]