Mnazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnazi''' ni neno linaloweza kutaja:
'''Mnazi''' ni [[pombe]] inayotengenezwa na utomvu wa [[nazi]] changa iliyogemwa ikiwa mtini. Utomvu huu ukikusanywa ndio unaotoa pombe ya mnazi.
 
* mti wa [[mnazi (mti)]] mwenye matunda ya nazi
Pombe hii ya mnazi ni maarufu sana maeneo ya mwambao wa [[pwani]] [[Tanzania]] ambapo minazi huota kwa wingi hasa [[Tanga]]. Pombe hii haiongezwi kitu chote ili kukamilika. Huhitaji masaa 8 tu toka kugemwa ili kukamilika kunywewa, ina rangi nyeupe iliyofifia hii ni pombe ya asili ya wabondei.pombe hii hunywewa pia sehemu nyigine ambapo minazi hukua Africa,caribian,Asia lakini ikiitwa majina mengine.
 
* kinywaji cha [[mnazi (ninywaji)]] kinachotengenezwa na utomvu wa nazi changa
{{mbegu}}
 
 
[[Category:Vinywaji]]
{{mbegumaana}}