Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.100.73 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
Mstari 10:
 
[[Mwanzilishi]] wa uskauti [[duniani]] ([[1907]]) alikuwa [[Robert Baden-Powell]] ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]]. Leo hii wako skauti milioni waliounganisha katika makundi na vyama vingi; idadi kubwa aidi nni wanachama katika [[Shirika la Harakati za Skauti Duniani]] linalounganisha skauti milioni 57<ref>https://www.scout.org/</ref> kote duniani.
 
== Kanuni za skauti ==
*1. skauti ni mwaminifu.
*2. Skauti ni mzalendo kamili.
*3. Skauti ni mtu wa kufaa na kusaidia wengine.
*4. Skauti ni rafiki kwa wote na ndugu kwa kila mtu aliye skauti na asiye skauti.
*5. Skauti ni mwenye adabu kamili.
*6. Skauti ni mwenye huruma na viumbe hai.
*7. Skauti ni mtiifu kamili.
*8. Skauti ni mchangamfu daima hakati tamaa.
*9. Skauti ni mlinzi wa mali zake na za wengine.
*10.Skauti ni safi katika mawazo, maneno na matendo yake pia.
 
==Marejeo==