Karl Hjalmar Branting : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Karl Hjalmar Branting''' (23 Novemba, 186024 Februari, 1925) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uswidi. Kati ya miaka ya ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:37, 29 Aprili 2008

Karl Hjalmar Branting (23 Novemba, 186024 Februari, 1925) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uswidi. Kati ya miaka ya 1920 na 1925 alikuwa Waziri Mkuu wa Uswidi mara tatu. Mwaka wa 1921, pamoja na Christian Lange alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.