Kislavoni cha Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 44 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q144713 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Slavic europe.png|thumb|275px|right|Nchi ambako lugha ya '''<font color="#7cdc87">[[Kislavoni cha Magharibi]]</font color="#7cdc87">''' ni lugha rasmi;
<br> Nchi ambako lugha ya '''<font color="#008000">Kislavoni cha Mashariki</font color="#008000">''' ni lugha rasmi; <br>Nchi ambako lugha ya '''<font color="#004040">[[Kislavoni cha Kusini]]</font color="#004040">''' ni lugha rasmi]]
'''Kislavoni cha Mashariki''' ni [[kundi]] la [[lugha za Kislavoni]] zinazozungumzwa katika [[Ulaya ya Mashariki]]. Ni [[lugha]] [[tatu]] za [[Kirusi]], [[Kiukraine]] na [[Kibelarus]]. [[Idadi]] ya wasemaji wa lugha hizo ni kubwa kushinda idadi ya wasemaji wa lugha za Kislavoni za Kusini au za Magharibi.
 
'''KislavoniLugha chazote Mashariki'''tatu nizilitokana kundikatika la [[lugha zamoja Kislavoni]]inayoaminiwa zinazozungumzwailitumiwa katika [[Ulaya ya Mashariki]]. Ni lugha tatu zamnamo [[Kirusimwaka]], [[Kiukraine1000]] na/ [[Kibelarus1200]] [[BK]]. IdadiZiliachana yabaadaye wasemajina wakukuza lugha hizi ni kubwa kushinda idadi ya wasemaji wa lugha[[tabia]] za Kislavoni cha Kusini au cha Magharibipekee.
 
Lugha zote tatu zilitokana katika lugha ya pamoja inayoaminiwa ilitumiwa katika Ulaya ya Mashariki mnamo mwaka 1000 / 1200 [[BK]]. Ziliachana baadaye na kukuza tabia za pekee.
 
Lugha zote tatu hutumia [[mwandiko wa Kikyrili]].
{{mbegu-jio-Ulayalugha}}
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Lugha za Kislavoni]]