Injili ya Luka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Injili ya tatu, ya Mtakatifu Luka, inaendelea na kitabu cha Matendo ya Mitume: katika dibaji za vitabu vyake hivyo mwandishi anaeleza sababu na taratibu za kazi yake kwa mlengwa wa...
 
No edit summary
Mstari 9:
Katika Injili hiyo mambo yote yanalenga Yerusalemu, kiini cha jiografia ya wokovu, wakati katika Matendo ya Mitume yote yanaanzia huku na kulenga miisho ya dunia.
 
Inaonekana kuwa aliandika baada ya maangamizi ya [[Yerusalemu]] na ya [[hekalu]] lake mnamo mwaka 70, akitaka kuthibitisha uaminifu wa [[Mungu]] kwa ahadi zake, yaani kwamba matukio hayo ya kutisha yalisababishwa na [[Wayahudi]] kwa kumtakakumkataa [[Masiya]] wao, [[Yesu Kristo]].
 
Kwa sababu hiyo, Mungu aliendeleza mpango wake wa wokovu kwa kuwalenga moja kwa moja mataifa yote.