Mbege : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mbege''' ni pombe ya asili ya [[Wachagga]], wakazi wa mkoa wa [[Kilimanjaro]]. Mbege hutengenezwa na [[ndizi]] mbivu, [[ulezi]], na [[maji]]. Mara nyingi mbege hutengenezwa na wanawake na hutumika katika sherehe na matukio mbalimbali kama vile harusi, misiba, [[ubarikio]], kuzaliwa kwa mtoto, n.k. Utengenezaji wa mbege hufanywa pia kama shughuli ya kibiashara. Mbege huuzwa katika vilabu vya pombe na pia majumbani.
 
 
[[Category:Vinywaji]]